RAFU zote zile Halafu Juzi Nimepima Ukimwi Niko Poa

Leo nilikuwa kwenye trip out of the town, sasa tukiwa njiani mabinti watatu above 18, walioonekana kuwa na furaha muda wote wakiongea wakionyeshana vitu kwenye simu zao, na mengine mengi.

Kimya kikapita,baada ya dakika 10 mmoja akaanza kuongea tena, lakini kwa sauti ya chini kidogo, mimi nilikuwa mbele yao nilipokuwa nimekaa nilikuwa ninawasikia, hasa position aliyokuwepo fanani.

Mwenzenu hata sijiamini amini binti mmoja anamuambia mwenzie.
Kunani tena, vipi?? Una tatizo salome? Msichana mwingine akadakia. Huyo mwingine ambae aliitwa kwa jina la Salome mwenyewe akajibu, Akasema hapana.. Ngoja niwasimulie.

Yaani kuna kaka mmoja hivi nilikutana nae somewhere in DSM, akaniita akaniomba namba nami nikampa. Tukaanza kuwasiliana, about 5months ago, mara nyingi tukikutana ananiuliza kuhusu kupima, Nami nikawa namdanganya nimepima miezi mi3 iliyopita niko poa. Hatukuwahi kufanya kitu.

Kiukweli mimi nikikumbuka idadi ya wanaume nikiocheza nao mchezo wa kikubwa ni wengi sana hata idadi siijui wala siikumbuki, na toka nipime 2009 sijui 2010 huko sijapima tena.

Sasa juzi tukapanga tuonane,
Akaja baada ya sikujuu za eid kupita. Tukatoka, tukaenda kukaa sehemu tukala tukanywa, story na mahaba mengi kila mtu akajikuta amenyegeka pombe zishaanza kusoma alcohol % zake kichwani. Akaniuliza tuhamie ndani?? Nikamwambia sawa. Akanambia nisubiri hapa.

Akazama ndani, baada ya dakika fulani akatoka akanipa ufunguo wa room akanielekeza kilipo, mi nikamwambia nakusubiri twende wote, akacheka akasema sawa hamna shida we nisubiri hapa, akaelekea parking za magari.

Akarudi pale akiwa na mfuko mdogo hivi, akanishika mkono nikasimama tukaingia room. Tukaanza kiss, romance za nguvu kama dakika 20 hivi. Then mi nikazidiwa nikaanza kuvua nguo, gauni tu. Nikamkalia nikaanza kusalimu abdala kichwa wazi ndani ya zipu hataki kutoka, naisugua na kumsikia anaitika kabisa lakini kakomaa ndani ya zipu.

Akanitoa, akaniambia salome nakupenda. Upo tayari tufanye hivi nikamwambia ndio, akanambia kaa hapo kitandani kwanza. Nikaanza kuona kama mambo meusi hivi, ghafla akatoa vidude flani viwili akavishika mkononi, nilivyopeleka macho kusoma HIV nini sijui sikupata hata uwezo wa kumalizia maana nikipigwa na shoti, akaniambia salome mimi siwezi kutumia condom, so tupime.

Nikabaki namtumbukia macho, akanigusa begani salome vipi? Hata cha kujibu sina, kitetemeshi, sijui kigugumizi hata sielewi.
Akaniuliza vipi nikupime?? Nikaanza kujichekesha mara mi naogopa sindano, mara mimi hivi akanambia salome, akanitazama direct machoni kama hutaweza kwa leo niambie tuondoke, tukamalizie vinywaji tuende. Usijiforce kama haupo tayari.

Akanambia nilijisikia aibu + kujisikia vibaya,nikaona chembe chembe zote za kumpenda kweli kijana yule. Nikajisema vyovyote na iwe, nikampa kidole akatoboa na kisindano akaweka damu na sijui maji gani yale kwenye kijichupa kidogo akayaweka pale kwenye kipimo. Na yeye akajitoboa kwenye kipimo kingine, tukakaa tunasubiria majibu, kimyaaa kama kapita shetani.

Baada ya dakika 10 au 15 Nikamuuliza vipi nikiwa nimeathirika? Akanitazama, akasimama akaenda kwenye vile vipimo akachukua cha kwangu akakitazama halafu akanitazama mapigo ya moyo yalidunda paaah! Kama bastora hewani, akanifata akanipa bonge la English kiss akaniambia huwezi kuwa nao mtoto mzuri, kipimo kinasoma control.. Sikuelewa, nikamwambia ndio nini sasa? Hapo mapigo ya moyo yanadunda kama kitenesi vile. Akaniambia ujue unanichelewesha salome.. Akachukua vyote viwili, kuna mistari ilijitokeza upande umeandikwa control akaniambia tuko poa sote Nikaganda nisiamini nilichokisikia.

Akanisukuma nikadondokea kitandani, aisee lilifuata libeneke matata mtoto hatumwi dukani, yaani nilipiga game nikiwa sina stree wala sina mawazo mengine zaidi ya furaha, nili enjoy sana kit.mbo kile. Akamalizia kusema "namshukuru kwa upande mwingine maana nilisha kimbia wanaume kadhaa when it comes to check up ya HIV,nilikuwa sijiamini kwa sababu ya rafu nilizocheza huko kipindi cha nyuma. Nimeona kuna kila namna nijilinde niache kugawa gawa hovyo, huu ugonjwa si mbaya lakini stress zake ndio mbaya aisee, stress ndio zinazo maliza watu, yaani kusubiria tu majibu niliwehuka vile, ningekutwa nao!? "


NB: ukimwi upo, unaua. Chukua Tahadhari.

Stori by Maserati
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad