Rais Magufuli Amekosea Sana- Zitto

"Rais anakosea Sana kuhusisha suala la Masheikh waliopo ndani na mauaji ya MKIRU. Amewapa maadui silaha. Acha tumalize kwanza suala la miswada ya Madini kwani ni jambo linalotuunganisha. Tukimaliza tutarudi kuzungumza kuhusu Hii kauli ya Rais.

Umoja na Mshikamano ni silaha ya ushindi." Ameandika kupitia ukurasa wake wa Facebook
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zito kabwe anachoongea ni upuuzi mtupu. Watu wanaendelea kuuwawa yeye anasema waache wauwawe kwanza madini? Nafikiri huko ni kuishiwa kisiasa na kurukia mambo bila ya kufanya tafakari kama vile Zito hajasoma na hoja zake za kupuuzi alizokuwa akitoa kuhusiana na makontena ya mchanga wa dhahabu. Zito kama mzalendo wa kweli alitakiwa kukemea kwa nguvu zake zote kwa wale wanalolifanyia mzaha suala la mauaji ya kibiti badala ya kutafuta kiki kwa hoja za kupuuzi zidi ya muheshimiwa Raisi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si kweli. Wewe akili shida. Usomi wa hali ya juu na tafakari timamu zinahitajika kumwelewa Zitto. Zitto yupo sahihi. Wewe upeo mdogo. Tunaingia kwenye hatari. Na maneno ya kulinganisha hizi kesi mbili ambazo tuhuma tofauti kabisa lazima ziangaliwe kwa makini sana. ni potofu, na uchochezi pia. Kina ugaidi, na kesi ya kutokukubali uongozi chini ya chama tawala . kuna ukandamizi mkubwa Watu wa kibiti wanaituhumu serikali. Lazima serikali ijue hili na huu si ugaidi hsata. Kauli mbaya hii. Serikali ijiangalie vipi imewafanya Watu wa Kibiti wafanye haya? haitatatua kitu hata wakipeleka jeshi. Inabidi mkubali mmewakosea kwa namna fulani watu hawa kiutawala.Bila hivi mnapoteza nguvu bure.Watu wa kubiti wanahitaji elimu bora wajikomboe kama maeneo mengine. Wapo nyuma, hawana viwanda. Je hli hamlioni? kunawawekezaji wamepewa ardhi ardhi za Wananchi. je, MMeshindwa kuwaelimisha mkawapa ardhi zao mkawasaidia ili wajikwamue? Tatizo ni hili ndgugu raisi. ni Ardhi zao kaeni nao wasaidieni muwawekezee wapeni elimu bora wana watoto, wake, na vijukuu, wapo hoi, wanachokijua toka zamani ni kuchoma mikaa kuuzia mijini. Leo mnawakataza bila kuwapa replacement. Je mbona tena mnawavizia barabarani kuwaomba rushwa? Ndo mnavyowanyanyasa hawa na wamesema haya? Muwatatulie haya viongozi wa CCM badala ya kuwawinda tafadhali. Mnawashambulia badala ya kuwasikiliza. Na wote mnaowalaumu, mwenye lawama ni serikali limbikizi ya watu. Wamechoka. Wameamua kuchukua nguvu mkononi. na si wa kibiti tu watu wengi wamechoka bali wanaogopa tu. Mnapeleka viwanda waliko wakubwa na watoto zao tu. huu ni upendeleo mkubwa Raisi wangu. Mnapeleka viwanja vya ndege nyumbani kwenu watu wananjaa. Je ndege ni muhimu kuliko elimu ya binti wa kibiti? je Ndege ni muhimu kuliko ajira ya mwanaume , baba wa kibiti anayeshindwa kumlisha mwanae? Mnapozungumzia maendeleo mnachagua wapi, na nani apate, je Kwa misingi gani au ipi? tunasema binadamu wote ni sawa, mbona hamuwatendei watanzania wote kwa usawa? Nchi moja huduma tofauti.

      Delete
  2. Hata yeye Zito anaweza kuisaidia Polisi katika hili, kwa jinsi alivyosema inaelekea anakitu anachokifahamu kama wanavyo fahamu john mnyika na lema.

    ReplyDelete
  3. Nyinyi eote hspo juu ni viraza wa kufikiri ksbisa. Nakuunga mkono Zitto. Ingekuwa mpinzsni au mtu meingine kasema hivi wsngesema uchochezi. Hii kauli ni mbaya sana ni siasa isiyo na mshikio. Rsisi anaposema tumwachie yeye na polisi, halafu akafananisha na marekani guatana bay, akaunganisha na hawa mashehe smbao wanatuhuma tofauti kabisa na kabla ya kujua chsnzo halisi ya mauaji ya kibiti, naona hapa kuna hatari kubwa kisiasa na chama cha ccm nzima kiutawala.amemkataza waziri wa zamani Ndugu lowassa kuongea ukweli akiomba serikali angalau iwafungulia mashtaka wanayohutumiwa nayo. Ni haki ya kila mtanzania. Unaingia kibiti. Ni ccm.wanaouawa ni viongozi. Badala ya kuwa wakweli badala ya kutishia watu ,kufunga midomo wstu, mkakaa chini kwa uwazi, mkawauliza wananchi .wananchi wa kibiti wanahasira na uongozi wao.hawajaridhia nao. Wanaona hsmuwajali, hamuwainui kielimu, kimaendeleo, na mnawanyanyasa. Mkishirikiana ns polisi. Mnawanyanganya vibali vya mkaa, mnachukua rushwa barabarani kutumia trsfiki, mnawasmbia wasikate miti kuuza mikaa.mmewachukulia ardhi zao kubwa na kuwapa wawekezaji. Shule funi, wasichana wanaolewa wskiwa watoto. Na huu mzunguko ni wa miska mingi unarudia rudia. Wakija dar wsnaona tofauti kihufma, chslinnze mnawajsli sana sababu kuna dingi na fsmilis. Bagsmoyo pia. Ccm mnachagua wapi mpainue sababu binafdi na wspi mpaache. Na hili ndilo tatizo la kibiti ndugu magufuli. Upendeleo kiutawala. Ubinafsi wa viongozi wa CCM wanajipendrles na kupeleka maendeleo, elimu kule wsnakotoka wao kupitia mali za umma. Hili ni tatizo kubwa Tanzsnia nzima. Upendelro, mnatumia vyeo vyenu kwa maslahi binafsi. Watu wa Kibiti mmewabwaga hawana elimu kubwa, hawsna mashule ya kuvutia, ndo hivyo tena elimu kwa mabinti, kilimo funi, hskuna vigezo vikuu vya uwrkrzaji vyote viko Chalinze.mnawachagua wskuu wa mikoa bila vigezo. Mnachkua mashsmba kuwspa wsgrni. Mmejenga barabara mpaka mtwara kws ajili ya mafuta, na mbuga, kibiti wanavuta vumbi tu. Uongozi wa CCM hsujaona kasoro hizi za kibaguzi kimaendeleo na uhamashijaji. Ukiwa mpinzsni husaidiei, usipokuwa na jina kubwa hata ukiwa ccm hupo maarufu unafunikwa. Ni upendeleo mtup. Lakini kuhudisha tuhuma za ugaidi ns kibiti ni uchochezi na mpasuko mjiangslie sana matumizi ya lugha.mnsipasua Tanzania kwa fikra fupi na madhsra yske ni makubwa sana ndugu raisi. Hivi CCM hakuna washauri wa raisi kabla hsjatoa hutuba. Au mnameogopa. Mnaunga mkono snapofunga watu middomo sasa hspa ni tatizo kubwa. Bado mnspigilia makofi? Haya bwana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad