Rais Magufuli: Hongera Kafulila kwa Uzalendo Dhidi ya IPTL. Waliokuita Tumbili wao ndio Matumbili

Mh Rais Magufuli akiwa ziarani Kigoma, Uvinza amezidi kusisitiza kuwa hii vita dhidi ya mafisadi na wale wote wanaotumia madaraka yao kujinufaisha wenyewe haitamuacha mtu.

Akimpongeza Kafulila kwa kuwa mzalendo wa kweli kwa kuwapigania watanzania kuhusu IPTL hadi akaitwa tumbili,akifunguliwa na kesi n.k. Amesema waliomuita tumbili wao ndiyo matumbili.

Amesisitiza pia kuachana na siasa za uvyama badala yake tuhimize maendeleo.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad