Rapper Joh Makini Kaamua Kuvuka Boda...Tazama Hii Video Kali Akiwa na Davido Kutoka Nigeria

Rapper kutokea kundi la Weusi, Joh Makini amerudi tena kwenye TV zetu na video yake mpya iitwayo Kata Leta ambayo amemshirikisha Staa kutokea Nigeria aitwae Davido ukishaitazama video yenyewe hapa chini usiache kutuandikia comment yako umeipokeaje

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad