Said Aliyetolewa Macho na Scorpion Afunguka Mazito...Adai Mkewe Anamsaliti na Mlevi


SAID ANAFUNGUKA MAZITO. "Mke wangu amenifanyia vitu vingi vya ajabu anapigiwa simu na wanaume na hao wanaume wananitukana nilimweleza baba yake akaniambia nimpe talaka au nimuoe mwanamke mwingine, amekuwa mlevi anaweza hata kumuingiza mwanaume mwingine chumbani kwangu kwa sababu sioni kwakweli nilishindwa kuvumilia hasa kutokana na hali yangu." #SaidMrisho #Live #LeoTena

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmh huyu nae. Ameishiwa la kuongea mkewe atamsaliti Vip na kunywa mipombe na vitoto vidogo viwili vimapacha vyenye mwezi Mmoja tu. Haya bana ndio mambo ya pesa hayo, wanaume zetu wengi wakipata pesa matako yanalia bwata na wake zao wa awali waliowavumilia shida na raha hawawataki tenaaaaa!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Huyu muongo.ingekuwa kweli asingedanganya na kuondoka. Ameamua kumdanganya mkewe na kutoroka. Hafikirii watoto, sababu hawaoni.mke alimsaidia hospitali mpaka kspona. Wanaume wengi mioyo yao ndo hivi. Kasshsu yote. Kapewa nyumba, na pesa, mpumbavu kabisa. Kana anamuacha mke na kutelekeza watoto. Basi mali na nyumba na pesa zigawe nudunusu ni msli slipewa akiwa ameoa. Basi naamini huyu ni jambazi.

    ReplyDelete
  3. Jamani hivi mungu najua halali!sasa huyo said Na macho hana!kawa jeuri hivi!!nandiyo maana alifanyiwa kitendo Hicho kutolewa macho yote!kesha owa mke mwingine Na pia Ana mtoto sijui mbeya!anamsingizia huyo Xwife eti anaingiza wanaume ndani!we mshenzi sana !ndiyo maaana ulingolewa macho!chozi la mwanamke liogope.na nenda kapome afya yako.pesa kitu gani kujidhalilisha!ulisahau alivyokuhangaikia hadi we kupona!we ungekuwa saud Arabia ungepigwa mawe hadi kufa!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad