Siasa Zampoteza Mbowe Bila Kujua

Siasa, uroho na kutojua kumempoteza Mbowe bila kujitambua. Mashabiki wake wengi wanashindwa kulitambua hili.

Mambo yanayompoteza Mbowe ni haya:-

i) Kuzidiwa kisiasa na watu walioko ndani ya chama;
ii) Kashfa nyingi za kibiashara, ngono na ukanda wa chama chake;
iii) Kuuza chama kwa Mh. Lowassa;
iv) Kupungua kwa ushawishi kwa chama chake hasa baada ya kupingana na dhamira yake ya
kutetea taifa na kuanza kutetea wezi;
v) Kushindwa kusimamia matamko na mikakati ya chama chake;
vi) Kupingwa waziwazi na wanachama wake;
vii) Kupungua kwa mikutano ya kujinadi kwa chama chake.

Kutokana na mambo haya, Lissu na Lowassa wamebaki kuwa wakuu wa chama bila kujijua. Kunapotokea kila kitu, yeye amebaki mnyonge na ameshindwa kutetea falsafa ya chama ambayo ilisaidia kukua kwa chama mpaka 2015.
Ni wazi kuwa, kwa sasa tunatarajia kuona mtanange kati ya Lissu na Lowassa siku za hivi karibuni.

Tukae tukisubiri.

By Ufipa-Kinondoni/JF

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpuuzi wewe, hat ahujui mikakati ya chama ikoje, huelewi hata ni kwanini yeye kwa sasa yuko kimya na Lisu ndiye mpambanaji. Nenda lumumba ukachukue ujira wako kwa waliokutuma.
    Njaa ni matatizo makubwa. Go get yourself something to do. Acha kileta hoja nyepesi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dadavua hoja acha wahaka.

      Delete
  2. Kwani kuna kificho hapo...!!! Chama ni cha mwenyewe Liasu bila kipingamizi. mtowe amewachwa mbali siku nyingi.. wewe gugole chadema anatokea kisu na EDO...MKO HAI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad