Staa wa filamu za Home Alone afariki dunia


California, Marekani. Mwigizaji John Heard aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza kama baba katika filamu za Home Alone, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.

Mwili wake aligundulika na mhudumu wa hoteli aliyofikuwa amefikia kwa ajili ya mapumziko baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa mgongo jijini California, Marekani.

Heard alikuwa akiigiza kama Peter McCallister katika filamu za Home Alone akiwa baba wa Macaulay Culkin maarufu Kelvin.

Ameigiza katika filamu mbili kati ya hizo ambazo ni  Home Alone na Home Alone 2: Lost in New York
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad