TRA Arusha Yafungia Vituo 54 vya Mafuta .

Mamlaka ya mapato Tanzania ,Mkoa wa Arusha TRA ,imevifungia vituo zaidi ya 50 vya mafuta kwa kosa la kutoa Huduma ya kuuza mafuta bila kuwa na mashine za kielitroniki(efd's)zinazotoa risiti kwa mteja.

Meneja wa TRA Mkoani hapa ,Mbaruku Apili alisema zoezi hilo ni endelevu na linakusudia kuimarisha mapato ya serikali ,qmbapo amewahimiza wamiliki wa vituo hivyo kufunga mashine za kutoa risiti ambapo mashine moja inathamani ya shilingi milioni 7

By Jembejembe/JF

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad