Tundu Lissu Apandishwa Mahakamani na Kusomewa Mashtaka Haya...Uwezi Amini Mawakili 21 Wamejitokeza Kumtetea

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (KATIKATI), alivyofikishwa mahakamani leo.
Baada ya kuwekwa mahabusu kwa siku nne, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki,  Tundu  Lissu leo amefikishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashtaka yanayomkabili.


UPDATES: Lissu amesomewa shitaka moja la kutumia maneno ya uchochezi wakati akihutubia kwenye mkutano Julai 17 mwaka huu jijini Dar.

Lissu anawakilishwa na mawakili 21 wakati serikali inawakilishwa mawakili 5. Aidha mawakili wa serikali wameomba Lissu anyimwe dhamana kwa kuwa ana mashauri matano mahakamani hapo yenye kesi za uchochezi, hivyo wamesema akiachiwa huru anaweza kudhuriwa.
Mawakili wa Lissu wanapangua hoja hizo.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Quantity is 21 and quality is..... hi yoye ni ushikaji. na mimi nilikuwepo katika ile group. Jamani hembu tujithamini..kweli tumeluja kufanya nini? je anachokifanya huyu makhuluki tabu kinatuathiri vipi sisi as individuals and as a nation.. je huyu kijana anayo maadili na uzalendo wa nchi yake? kujiuliza masqali siyo dhambi na kifata jobu ni ujasiri katika ubadilishaji wa mwelekeo. inabidi asuswe katika jamii huyu kijana na kama leseni yake iko bado hai kuprectize basi kwa ujumla muikane na kisaspend. mungu akubariki ni katika mwamko mpya.

    ReplyDelete
  2. Quantity is 21 and quality is..... hi yoye ni ushikaji. na mimi nilikuwepo katika ile group. Jamani hembu tujithamini..kweli tumeluja kufanya nini? je anachokifanya huyu makhuluki tabu kinatuathiri vipi sisi as individuals and as a nation.. je huyu kijana anayo maadili na uzalendo wa nchi yake? kujiuliza masqali siyo dhambi na kifata jobu ni ujasiri katika ubadilishaji wa mwelekeo. inabidi asuswe katika jamii huyu kijana na kama leseni yake iko bado hai kuprectize basi kwa ujumla muikane na kisaspend. mungu akubariki ni katika mwamko mpya.

    ReplyDelete
  3. Wahenga nawakubali sana kila jambo walilizungumza vilivyo, walisema PANYA WENGI HAWACHIMBI SHIMO, WINGI SI HOJA, ULIMI ULIPONZA KICHWA, MCHIMBA SHIMO HUINGIA MWENYEWE na NGOMA IKIVUMA SANA HATIMAYE HUPASUKA, Tundu tafakari kisha uchukue hatua.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad