UGOMVI wa CUF na CHADEMA Hauwezi Kumwacha Mtu Salama..Chama Kingine Chaingilia Kati

CHAMA Cha ADC kimekitaka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kutoingilia Mgogoro ulikuwepo Ndani ya Chama cha Wananchi CUF.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Katibu Mkuu wa Chama Hicho Doyo Hassan katika Maandalizi ya kuazimisha Miaka mitano ya kuzaliwa kwa Chama hicho.

Doyo amesema kuwa Chadema kuingilia Mgororo wa CUF kunaweza kuhatarisha amani ya nchi.

"Tumeshuhudia Migogoro mingi ya vyama vya siasa lakini hatujaona kingene kikiingilia Mgogoro wa Chama kingine".

Hata hivyo Doyo ameitaka serikali iviache vyama vya siasa nchini vifanye shughuli zao.

Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama hicho yatafanyika Tarehe 22 Agosti Mwaka Huu ambapo chama hicho kitakuwa na ziara kwenye asasi za Kiraia, kuwatembea Waginjwa, Wafungwa, Vyuo vikuu na Kutembea Nyerere Foundation ,N.K  na Mwisho kuhitimisha kwenye Ofisi za chama hicho Buguruni Jijini Dar es Salaam.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyinyi viongozi wote holela hamjui sheria, ni mizigo mitupu. We wa ADC badalavyavkuzijua haki na sheria za nchi, badala ya kugombea haki, hujui hata sheria za ussjili. Unajifanys mtakatifu au mzuri kwa chsma tawsla. Badala ya kupigania haki zenu kama wapinzani kwa pamoja, unapayuka tu.Huoni hii kesi ni huyu mssjili kakoses, lini nyinyi wanasiasa mtasimama pamoja kutetea haki zenu. Ni watu ksma msio na elimu. Ni wazee msio na busara mnakurupuka tu. Ndo maana mnashindwa kusonga mbele. Unakuwa kiongozi wa chama mzigo tu.hamna busara na muda wenu umepita. Pisheni wenye uzalendo na moyo wa nchi wspiganie haki. Nyi mnababaishia tu hizi siku za uzee kimaisha, mnatibuatibua pangua pangua pisheni na waacieni bijana sasa. Huna tofsuti na Lipumba. Maslahi binafsi mbele. Mbona nyinyi wazee mnakatisha tamaa. Ondokeni kwenye siasa mnaabisha na kuchefua nchi wala soni hamna.wazee wazima busara hamna. Mnajiingiza na kujialia mambo tu kusudi muonekane mnasema kitu ingawa ni pumba tupu. Hivi ksma wengi wazee wetu hawana busara na ni wakurupukaji tu bila kujali matokeo yake tumefikaje hapa tulipo. Ndo maana tunaukubalia udictata sababu uhuru na demokrasia kwa wengi hawaujui. Hata majumbani wazee wengi ni madictata kwa wake zao na watoto wao. Ni mfumo wa kijinga unaompa nguvu mtu mmoja mkuu wa nyumba hata akiwa mjinga.umaskini wa akili ni pingamizi kubwa kwa kulikomboa taifa lolote. Na taifa letu nfo hivi.watu kutoka nje wanakuja wanaendelea watanzania wengi kwa mfumo huu taifs limechukua muda mwingi sana sababu ya kuridhika na kulaza akili. Watu hawaoni mbali.wanakuwa ndio pingamizi kuu la maendeleo nchini bila kujijus. Na siasa kuziweka mbele bila ubunifu na mbinu za kujitegemea.

    ReplyDelete
  2. Habarizenu ninyi blog ya udaku special hazinaga mhariri maana zimejaa makosa ya kiuandishi Sana mpaka tunapata uvivu WA kuzisoma maana uandishi wenu unaboa sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad