VIDEO: Alichozungumza Mke wa Tundu Lissu Baada Mume wake Kukosa Dhamana

 VIDEO: Alichozungumza Mke wa Tundu Lissu Baada Mume wake Kukosa Dhamana
Leo July 24,2017 Rais wa TLS na mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefikishwa ktk Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa kosa moja la kutoa lugha ya uchochezi.

Hata hivyo, Lissu amerudishwa baada ya kukosa dhamana kutokana na pingamizi lililowasilishwa na upande wa mashtaka. Kesi imeahirishwa hadi July 27, 2017 kwa ajili ya Hakimu Mashauri kutoa uamuzi kama Lissu apate dhamana au la. Nje ya mahakama hiyo, Mke wa Lissu Alicia Magabe amezungumza haya…….

’Kwa kweli sikutarajia maamuzi kuhusiana na kesi yake, ameshawekwa mahabusu mara nyingi sana namjua yuko imara sana– Alicia, Mke wa Tundu Lissu

Hii hapa chini ni video ya Mke wa Tundu Lissu akiongea

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tena Alisia Mwenyewe Kafurahi na Kapumzika na kero za Kisu. Anaomba mungu abaki huko huko Isanga.
    salale segelea hakluna shulubu. Ni lazima afanye KAZI TU ndiyo ale na kulala. Buled bule imekwisha.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad