VIDEO: Lipumba atolea tamko zito kikao cha kina Maalim Seif

Leo Julai 27, Mwenyekiti  wa chama cha wananchi taifa (CUF) Prof Lipumba amewafahamisha waandishi wa Habari kuwa amepata taarifa kuhusu upande wa Katibu wa mkuu wa chama hicho Maalim Seif wamepanga kuafanya kikao visiwani Zanzibar, jambo ambalo amesema kikao hicho ni batili kwakuwa hakina baraka zake na kwamba vyombo vya dola viwashughulikie Kwa kile alichodai kuwa watakuwa wamekiuka sheria namba 5 ya vyama vya siasa ya mwaka 1992.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huu ujinga wa wasomi kama Lipumba. Kurudisha maendeleo ya nchi kws kupsta vyeo tu. ulijitoa, umefodi sababu sheria zetu di huru ns bado ksndsmizi. Kwa nini uditumie elimu ysko ya uchumi hata kujenga chuo na kutoa elimu. Huna uhakika. Hujui kujiajiri. Mnskimbilia kwrnye siass tu mnajus kuna milo. Je mbona sio wabunifu kws kutumia elimu zene zikawa more constractive kuliko destuctive kitaifa kama unavyofanya, muds unaopoteza, unalaza elimu inayohitajika kwa kulibomoa taifa ukisaidiana na serikali tawsla. Ndo maana mnadhindwa kutetea , kulinda mali za wananchi ingawa mnaelimu za juu, ubinafsi wenu, mko busy kutafuta urahisi wa maisha binafsi mkiachia mabepari wale waonfoke. Mkiwaachia wachache wenye vyeo selikalini wsingie kwrnye mikataba mibovu mnangojea nanyi muingie mle. Sibu kwa watanzania wote. Kuona wasomi wetu ndio tatizo kubwa la maendeleo nchini. Na hawana hays. Ingekuwa mimi hata barabarani nidingeweza kuinua macho. Aiiiibuuuuu.sana. hawa mabepari wanaangslia na elimu na wsdomi wote, elimu inaishua hapo.faida ya elimu ni nini.na watazifi kuwa wsjsnja na kutuingiza kwenye mikataba mibovu kupitia hawa hawa akina lipumba. Soni.

    ReplyDelete
  2. Wote nyinyi Akina Kipumba, Huyo Sakaya ni mizigo. Ulijitoa kwenye uongozi Huoni haya kabisa. Kwa nini usiende kwingine ukajiajili. Wewe ndo inabidi ufungwe kwa kuleta fujo. Ungekuwa Chadema ungeshawekwa jela siku nyingi sana.mnaiingiza nchi kubaya, mnatwist sheria moja baada ya nyingine. Mnania gani. MMeshakuwa wazee kaeni kando. Mnawatumia maraisi Akina mkapa hawapo hapa. Ulivunjwa mkono na Polisi mbona hujawapeleka mahakamani. Unacheza mchezo mmbaya, wa fujo, wa kijinga, na mnapoteza muda bure wa Watanzania.Acha porojo .Hizi nguvu zote unazozipoteza hapa na elimu unayoipoteza hapa hujisikitikii na uzee ndo huu. Kaa kado.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad