VIDEO: Lissu Achiwa Kwa Dhamana Asimulia Alivyoombwa Kupimwa Mkojo

Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu imempa dhamana Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu .

Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo leo baada ya  Kusikiliza hoja za pande zote mbili.

Hata Hivyo Lissu ameesimulia alivyakataa kupimwa mkojo wake na Mkema Mkuu wa Serikali
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We Lisu masuala ya msingi ni kukomalia kwa nguvu zako zote Acacia waendelee kuibia dhahabu Nchi yetu? Utaendelea kuwadanganya hao hao uliozoea kuwanganya . Kabla ya kukamatwa kwa Singa singa ulitapika sana sasa kakamatwa pamoja na watuhumiwa wenzake unaanza kuponda. We mwanasheria gani unaejinasibu kuwa raisi wa mawakili Tanzania unaemuhoji au unaemtaka muheshimiwa raisi aingilie kesi ambayo bado ipo mahakamani? Kama si upuuzi na kuwafurahisha wanaokusikiliza kitu gani? Wewe na Chadema yako achana kabisa na Maghuful mnajipotezea muda bure tafuteni mamno ya msingi ya kufanya na kumbuka kupata zamana sio mwisho wa kesi. Mtu anajitafutia kiki kwa kulitaja jina la Maghuful yaani mtu mzima hovyo kabisa.

    ReplyDelete
  2. We Lisu masuala ya msingi unayojigamba na kujinasibu kuyapigania ni kukomalia kwa nguvu zako zote Acacia waendelee kuibia dhahabu Nchi yetu? Utaendelea kuwadanganya hao hao uliozoea kuwanganya . Kabla ya kukamatwa kwa Singa singa ulitapika sana sasa kakamatwa pamoja na watuhumiwa wenzake unaanza kuponda. We mwanasheria gani unaejinasibu kuwa raisi wa mawakili Tanzania unaemuhoji au unaemtaka muheshimiwa raisi aingilie kesi ambayo bado ipo mahakamani? Kama si upuuzi na kuwafurahisha wanaokusikiliza kitu gani? Wewe na Chadema yako achana kabisa na Maghuful mnajipotezea muda bure tafuteni mambo ya msingi ya kufanya na kumbuka kupata zamana sio mwisho wa kesi. Mtu anajitafutia kiki kwa kulitaja jina la Maghuful yaani mtu mzima hovyo kabisa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad