VIDEO: Magufuli Afungwe Breki- Halima Mdee

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema Halima Mdee kwa mwenendo anao kwenda nao Rais Magufuli analipeleka taifa pabaya na kwamba Watanzania wanapswa kumfunga breki kwa kuonesha kutofurahishwa na matendo yake.

Mdee ameyasema hayo leo Julai 3, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika makoa makuu ya chama hicho Jijini Dar es salaam, kuhusu kauli ya Marufuku ya mwanafunzi atakayejifungua hatorudi shuleni aliyoitoa Rais Magufuli hivi karibuni. SIKILIZA HAPA CHINI:
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe ndio ufungwe unalopoka tu

    ReplyDelete
  2. Mimi ninaona hilo la wanaopata ujauzito kurudishwa tena shuleni siyo sahihi kwa sababu watawafundisha wenzao tabia mbaya ila wanaweza kujiendeleza kwenye shule za watu wazima.

    ReplyDelete
  3. Huyo halima anatetea 'uchafu' huo kwavile yeye mwenyewe ni 'msagaji', hebu atuambie kwanini yeye alimaliza shule bila ujauzito, na mpaka leo hajazaa, why??? Asiwatie watoto ujinga, lazima tuwazoeshe kusema 'NO', 'HAPANA' wanapotongozwa...... huku shule, huku unanyonyesha........wapi-kwa-wapi......wasichana-msidanganyike, kusoma-ndio-mpango-mzima-ngono-tupa-kule..........

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad