VIDEO: Zari Aondoa Stress za Mimba ya Hamisa Mobeto Kwa Style Hii

Zarithebosslady mama watoto wa diamond platinumz akiwa Uganda kampala kwa mama yake mzazi na dada zake pamoja na rafiki zake wakidance kwa pamoja, kukata viuno yaani viuno bila mfupa.
Inasemekana Zari na Diamond Platinumz wako kwenye missunderstanding iliyomfanya Zari kukimbilia Uganda kupunguza stress za mume wake diamond baba tifa kumpa mimba Hamisa Mobeto na kuwa na mahusiano na warembo wengine. video:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duu wala hajui kiuno kikavu chakusukumwa aje tz afundwe mjanja anaona kaishiwa maskini bira nifanye haya mtu umeenda uguza mama yako mdio sherehe zote hizo tuli bibi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad