Waliofukuzwa Kazi NSSF (12), Nane Kati yao Kupandishwa Mahakamani Muda Wowote Kuanzia Sasa

Wale "miungu mtu" waliokuwa pale NSSF enzi za Dr. Dau sasa wamekufuzwa kazi rasmi, na tayari wengine muda wowote watapandishwa mahakamani kwa sababu mbalimbali zikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, ubadhirifu, forgery, uwizi katika ardhi nk...

NSSF kuna watu walijipachika "umungu". Viashiria vya udini ulitamalaki, upendeleo ulitamalaki, undugu ulitamalaki. Watu tukapiga kelele kwa miaka 10 hatukusikika, leo kaka Mwana aliyeletwa na Mungu kukumboa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ananyosha viongozi uchwara kama hao waliokuwa NSSF..

Safi sana wizara ya utumishi

By Pagan Amum
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad