Wanaozani ni Kiki Wasubirie Ndoa Yangu na Ebitoke- Ben Pol


Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa.

Hayo ameyasema Jana wakati wa show ya Miaka kumi  na tanoya Msanii Mkongwe Saida Kalori,Escape one Jijini Dar es Salaam.


 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad