WATU 200 Wakamatwa Kwa Tuhuma za Dawa za Kulevya, Unyang’anyi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar ES salaam limeendelea kufanya misako na operesheni kali ambapo kuanzia 10/7/2017 mpaka tarde 16/7/2017 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 200 kwa makosa mbalimbali ya uhalifu.


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmekimbia makwenu bara mmekuja kujazana wote Dar na wengi wenu mnaishi maisha ya kubahatisha bahatisha kisa mradi tu mpo mjini Dar rudini makwenu mlipotokea kama hamna shughuli za kihalali hapa mjini Dar mpunguze kiwingu cha watu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad