
Timu ya Taifa ya Soka ya Zimbabwe imetwaa ubingwa wa mashindano ya COSAFA2017 baada ya kuifunga Zambia mabao 3-1
Magoli ya Zimbabwe yalitiwa wavuni na 22' K. Mutizwa, 57' T. Chawapiwa pamoja na 67' O. Mushure
Huku goli moja la Zambia kifungwa na 39' L. Mundia