Mbunge wa Kigoma Mjini ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amewajibu baadhi ya watu wanaomkosoa na kumuita msaliti kutokana na kitendo cha kumsifia Rais John Magufuli alipokuwa ziarani jimboni humo.
Zitto alijibu mapigo hayo jana wakati akizungumza na wananchi wa Kigoma Mjini, ambapo alisema asingeweza kumkosoa Rais Magufuli wakati ule kwa kuwa alikuwa mgeni jimboni kwake, pia alikuwa anafanya shughuli za maendeleo ya wananchi wa jimboni kwake.
“Rais alikuja hapa akafungua mradi wa maji tukaenda ziwa Tanganyika, kuna watu walikasirika sababu Rais alinisifia sana, hawezi akaja Kigoma mtu akanisema mimi vibaya msingekubali, na mgeni akija siwezi nikaanza kumsema vibaya, mgeni akija unamkaribisha anafanya kazi yake anaondoka, kwani rais akienda kwenye majimbo yao wanamsema, rais alikwenda Bukoba Mjini wakati wa tetemeko, mbunge wa jimbo hilo alimsema ? alikwenda Arumeru kwa mdogo wangu Joshua Nasari, alimsema rais kwa nini akija kigoma mimi ndio nimseme,” alihoji Zitto.
Aliongeza kuwa “Mimi hamkunifundisha kuwa mazwazwa wazee mlinifundisha adabu na kuhakikisha maendeleo yanapatikana lakini sio kwamba rais akikosea hatutamsema tutamsema, na tumeshamsema sana, sisi ndio chama cha mwisho kufanya mkutano wa ziara, tukaja operesheni ya linda demokrasia tumemaliza mikutano ikapigwa marufuku.”
“Lakini toka serikali ya awamu ya tano iingie madarakani uhuru umeanza kuminywa sasa ni lazima, hatuwezi kukaa kimya haki ya watu kuwa na mawazo tofauti hatuwezi kuikalia kimya hata kidogo, lakini wakati huo huo hatuwezi tukasimamisha kila kitu kusubiri haki ya kuwa na mawazo huru, lazima haki ya mawazo huru ipiganiwe wakati tunapigania maendeleo,” amesema
Zito, umeshindwa kumwambia yeye pspo kwa pspo. Adabu gani ya kijings badsla ys kusemaa ndio napokea sababu unajua hasa, mradi ni mali na haki yao. Na pess zinazotumika ni za watanzania wenyewe, hii si adabu. Ni unyonge na upotoshaji. Ingebifi udimame wima huko ili uwaelimishe watu wa kigoma na kuwaambia ni haki yao. Ni mali yao. Kwanza imevhelewa sana. Ilikuwa wapate hski zao zamani ssna. Kigoma ni mkoa mmoja wapo kws miaka mingi hauna maendeleo, eimu chini, sasa unashindwa kama msomi ambsye mara nyingi di meoga kukodoa hadharani na kutafuta uhuru wa mawazo waziwazi umeshindwa kuutumia eti nini adabu. Adabu kama hizi ndizo zilizotufikisha hapa. Watanzania wengi wanafikiri kuwa na adabu ni kukaa kimya, wanafikiri kuwa na adabu ni kutokusimamia haki kwa wananchi eti kisingizio wanamheshimu raisi. Elimu uliyoipata hasa huko Uherumsni unajua sana hili unalolisema ni ueongo mtupu.mwangslie Mavkre ni mwanamke muwazi hsogopi snsema mbele ya viongozi wote duniani inspobidi asimamie haki na ukwrli. Yule nfo anastahili kuitwa burfoza, ni mwanamke shujaa, mdomi, migania usawa wa wajerumani na maslahi ya wajerumani kwa kupigania haki za nvhi yske na maendeleo ya nchi yake kutumia katiba ya nchi yake si maneno yake binafdi kama wanavyofanya maraidi wetu Tsnzsnia na mchi nyingi za kiafrika. Wanafuata dheria za nci kwa manufaa ya watu wso. Wewe umeinama, umekuwa dhaifu, unatumia ufhaifu wako ambao umeuonyesha wazi mbele ya raisi na watanzsnia wote kutokutumia haki yako, elimumu yako na bila eoga kupata kilicho chako, halafu unajiingiza kwenye vita na chadema. Mimi si mchadema, nakupa ukweli wako na upo kccm nimekufuatilia mara nyingi sana. Ni dhaify.ni viongozi kama wewe uliyepata chandi kubwa kudoma nje hasa ujerumani kwani kila mtu ujerumani ni mwanasiasa mkali hadharani bola uogs, utapata tena fursa gani zidi ya hiyo.najua wengi wamesomea hapa bila kupata fursa nyingine ya kujua uhuru wa kufikiri ni haki ya kila binadamu, na ni haki ya kila mtu kufikiri tofauti na hii ndiyo inaifanya nchi isonge mbele. Akili unazo, lakini kuna kicheo unakitaka unaogopa, na unadhinwa inapobidi usimame kidete. Na hii ni aibu kubwa inabifi ujitetee na kuwakosoa Chadema ukijua hasa, na wazi, wsko sahihi kwa hili. Ukiwaona wsnasheria Afrika mashariki wanaungana kwa mars ya kwsnza ujue kuna ukwrli kidheria unapiganuwa. Uwadangsnye tu wadio na elimu za juu. Na wanchi wengi waliokushangilia hawana rlimu za juu na hii ni aibu. Ilibifi uwafundishe uhodari bafo unawapeleka gizani kumnyenyekea mtu badala ya kugombea haki zao ,mali zso, ns uhuru wao. Umeliangusha Taifa, na umewaangusha wstu wa kigoma kuwaambia wstii psle smbapo hapafai kutii. Wswe wsogs pale ambapo inabidi wsjiamini na kumwambia raisi waliyemvhagua kuws ni yeye awadikilize kwanza ili apate uhusiano mzuri kutoka kwao na ajue namna ya kuwasikiliza matakwa au maomi yao na awatimizie vipasavyo. Ndo kazi ya raisi. Kudikiliza matatizo ysnayowasibu na ayaelewe, akishaelewa ajiwrke sawa na wso kwa kuyatatua pamoja. Hawezi tatua matatizo ya nchi toka Ikulu.huu ndio mfumo wa madaraka kisheria kupitia katiba iliyowekwa pembeni ya wananchi ili kuleta marndeleo halisi ambayo watanzania wenyewe wanayataka.si anayoyataka na kuyapanga mtu mmoja. Ni ukoloni wa hali yake. Na upigwe vita.
ReplyDeletehivi wewe ulikwenda darasani na kusoma kiswahili kweli? mbona kila wakati unaandika pumba? kama huwezi kuandika si uwaachie wanao jua kuandika, pumbavu acha kuharibu kiswahili. kwanza huyo Zitto siyo wa type yako
Delete