Agizo la Trump kwa Watu Waliobadili Jinsia Kutoajiriwa Jeshini

Agizo la Trump kwa Watu Waliobadili Jinsia Kutoajiriwa Jeshini
Rais Donald Trump ameagiza idara ya ulinzi Marekani kusitisha uajiri katika jeshi wa watu waliobadilisha jinsia zao.

Trump aliashiria hatua hiyo ghafla katika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter mwezi jana.
Katika ilani kwa waziri wa ulinzi Jim Mattis, Trump amesema Pentagon ni lazima irudishe marufuku hiyo.

Idara hiyo ya ulinzi itaamua hatma ya watu ambao wamebadiisha jinsia na ambao tayari wanalitumikia jeshi .
Agizo hilo pia linasitisha nafasi ya wanajeshi wa kiume na wa kike kufanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia zao

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad