Amber Lulu` Atoa Sababu ya Kuamua Kustaafu Kazi ya U-video Gueen

Amber Lulu` Atoa Sababu ya  Kuamua Kustaafu Kazi ya U-video Gueen
MWANADADA machachari Bongo, Lulu Eugen ‘Amber Lulu`ameamua kustaafu kazi ya u-video queen kutokana na watu wanavyoidharau kazi hiyo na kuamua kujikita kwenye muziki wa Bongo Fleva.
Akibonga na paparazi wetu juzikati, Amber anayetamba na wimbo wa Only You, alisema kwenye maisha mtu anapaswa kusonga mbele na siyo kurudi nyuma hivyo ameshavuka kwenye sekta ya kuuza nyago kwenye nyimbo za watu na kuamua kukomaa kwenye fani ya muziki.

“Sitarajii tena kuwa video queen kwenye nyimbo za watu, kwanza muziki unanilipa zaidi kuliko fani ya kuuza sura inayodharaulika, hata mtu anipe dau gani siwezi kuuza sura kwenye wimbo wake,” alisema Amber.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hujashikwa na njaa wee mwanamke pindi njaa itakapoÄ·ushika na kukulegeza mwili wote tutaongea vizuri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad