Aunty Ezekiel Aongelea Urafiki wake na Wema Kupungua, Diamond na Alikiba

Mwigizaji wa Bongo Aunty Ezekiel amekaa kwenye EXCLUSIVE INTERVIEW na AyoTV kwenye red carpet Mlimani City Dar es salaam kwenye uzinduzi wa movie mpya ya Wema Sepetu na kujibu maswali yasiyopungua matatu.

KUHUSU UHUSIANO WAKE NA WEMA KUPUNGUA:

Mimi nahisi labda mazingira ambayo tunaishi, mimi nimenza kuishi na mtu na yeye amekua mwenyewe… labda mimi huku  nakuwa busy na mtoto kwahiyo tunatofautiana mazingira ambayo tunaishi lakini kusema uhusiano umepungua kutokana na sababu nyingine sio kweli” – AUNTY EZEKIEL

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad