Breaking: Hatimaye Ali Kiba Katoa Wimbo Mpya Leo...Utazame na Kudownload Hapa

Hatimaye the waiting is over, Msanii Ali Kiba Ameachia Wimbo wake Mpya uliyosubiriwa kwa Hamu sana na Mashabiki zake baada ya kukaa kimya karibia mwaka mzima bila kutoa Wimbo mpya....Nimekuwekea hapa chini Audio na Video alafu utoe maoni yako kama utashika ama la?

TAZAMA VIDEO:
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Very nice. wimbo uloenda shule. nimeupenda umetulia vizuri.

    ReplyDelete
  2. wasoojua kuimba watacheka tuu, but wimbo ni mzuri na unaeleweka. big upp kIBA.

    ReplyDelete
  3. du! Domo kunuka anahaha huko,anataka atoe nyimbo haraka amfunike Kiba. maskini wa kufikiri kapewa starta kafurugwa hata kusubiri lunch bado.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo uliovurugwa maana unaangalia maisha ya watu wakati ya kwako ni shida, jiangalie harafu jitathimini

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad