Breaking News: RC Makonda Agoma Kuomba Msamaha Waandishi wa Habari

Breaking News: RC Makonda Agoma Kuomba Msamaha Waandishi wa Habari
Katika mkutano uliondaliwa na jukwaa la wahariri Tanzania Jijini Dar es salaam kati ya wahariri na Wandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ametanka hadharani kuwa hatoomba msamaha na wala haitakuja kutokea.

Kauli hiyo iliibua mjadala mkali kati ya Waandishi wa Habari na Paul Makonda, licha ya kauli hiyo Jukwaa la Wahariri Tanzania chini ya Mwenyekiti wake Novatus Makunga wametamka kwa kauli moja kumfungulia Makonda kuanza kuandika Habari zake.

Licha ya uamuzi huo Bado waandishi wa Habari hawajaridhishwa na hatua hiyo kwakuwa walitaka Makonda atamke kwa kinywa chake kuiomba radhi tasnia nzima ya Habari

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. VERY POSITIVE RUGE. HUU NDIYO UZALENDO TUNAOUTAKA NA KUIONA TANZANIA YETU INADUMISHA AMANI BAINA YA MTU NA MTU. TULIMSAIDIA MGEREZA NA TUKAWEKA ASKARI KAR (KINGS ARMY RIFFLE) MWISHO WAKE WATANZANIA WAMEZIKWA HAPO MAKABURI YA HURUMA (DODOMA) ITAKUWA SISI KWA SISI KATIKA KARNE HII YA 21.
    ANYA MHESHIMIWA RAISI NI KITU KIZURI ANBACHO MUNGU AMETUAMRISHA KUTAPATANISHA WATU WANAPOGOMBANIA AU KUTAFAUTIANA. NA NDICHO KILICHOFANYIKA NA HAKIHITAJI MJADALA.

    SASA KUNA GWAJIMA FACTOR HAPO NI YA KUPUUZA. NA TUENDELEE KUJENGA NCHI.

    KUMBUKENI NA TUKUMBUKE SISI WOTE TUTAPITA NA TANZANIA YETU ITABAKI.. NA WAKUIJENGA NI MIMI NA WEWE
    SIASA NA UCHOCHEZI NA CHUKI HAZINA MSINGI NA MSSIFANYE HII KUWA ISHU YA KUANZISHA MIJADALA KATIKA MAGAZET AU MITANDAO NA RUNINGA.

    TANZANIA INAHITAJI MUDA WETU KATI UJENZI WA TAIFA NA SI VINGINEVYO NI UCHELEWESHAJI NA UVIVU.

    HONGERA JPJM NA HONGERA RUGE NA HONGERA MAKONDA NA WOTE MLIOGUSWA TUNAELEWA IMETOSHA.

    TANZANIA KWANZA YA UPENDO NA AMANI NA UMOJA. KUHAKIKISHA TUNAILETA TANZANIA MPYA YENYE MATUMAINI NA FURAHA YA KUISHI KIHALALI NA VIZAZI VYETU VIJAVYO.

    ReplyDelete
  2. Makanjanja au kifup njaa kali

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad