BREAKING NEWS: RC Makonda Asitisha Bomoa Bomoa Dar

RC Makonda Asitisha Bomoa Bomoa Dar
Hatua hiyo imefuata baada ya kuwepo taarifa kutoka baraza la mazingira la taifa kuwa Nyumba Elfu kumi na saba mkoani humo katika eneo la bonde msimbazi zitabomolewa muda wowote kuanzia sasa.

Kwamujibu wa RC Makonda amedai Ofisi yake kutokuwa na taarifa hizo na kwamba agizo haliwezi kuwa na uhalali, ambapo ameongeza kuwa hata kama zoezi hilo lipo ni lazima yeye na wataalamu wake wajiridhishe hivyo basi zoezi hilo kwasasa amelisitisha.

Ametoa kauli hiyo leo mbele ta wakazi wa  kata ya Kigogo, Wilaya ya Kinondoni Jijini humo.

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnafiki tu huyoo! kiki hajazipata siku nyingi kama rafiki yake Domo na Le kunukaz mwenye tumbo kubwa akili ziro.

    ReplyDelete
  2. Ni ajabu kama sio aibu kwa serikali kupinga matamko yake yenyewe. NEMC iko chini ya ofisi ya makamu wa raisi na ninaamini mpaka kufikia hatua ya kutoa tamko la ubomoaji haikuwa decision ya mtu mmoja lazima chain of authority itakuwa aware. Sasa mkuu wa mkoa ambae ni mtumishi wa Serikali hiyo hiyo kuja in public ku criticize maazimio ya serikali ni jambo linalotia ukakasi kidogo. Hata kama kuna lack of coordination si vema kuivua nguo serikali in public.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad