Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, TLS, Tundu Lissu na Kituo cha Haki za Binadamu wameungana kwa pamoja katika kupinga kitendo cha kuvamiwa na kulipuliwa Ofisi za IMMMA Advocates.
Katika mkutano wa pamoja wamesema lengo ni kuonesha namna gani Sheria inatakiwa kuthaminiwa na kitendo kilichofanywa kinatakiwa kukemewa kwa nguvu zote
Hao mawakili wasiishie kugoma hizo siku mbili tu, nadhani wangeacha kabisa na hiyo kazi ya uwakili, wakafanye kazi nyingine.....hovyo
ReplyDeleteKwenye mambo 'ya-kisiasa' kama hayo ndio utawasikia hao wanaojiita haki za binadamu, lakini katika mambo muhimu ya kiserikali na ki'nchi huwasikii hata 'ku-kohoa', tumewastukia LHRC ni mkono wa pili wa chadema - MNAJISUMBUA, POLENI SANA
ReplyDelete