Clouds TV na Radio Kinara wa TV na Radio Zinazosikilizwa Zaidi Tanzania...Zingine Zafuata

Taasisi ya Utafiti ya GeoPoll imetoa list ya top 10 ya vituo vya Radio ambazo zimesikilizwa zaidi Tanzania kwa Q2 2017, ikitumia data za kila siku zilizokusanywa kupitia Media Measurement Service ambapo kituo cha Radio ya Clouds FM kimeongoza.

Clouds FM imeongoza kwa mara nyingine kwenye list hiyo ikifuatiwa na Radio Free Afrika wakati TBC Taifa ikikamata nafasi ya tatu.

Aidha Taasisi hiyo pia imeitaja Clouds TV kuwa kituo kinachotazamwa zaidi Tanzania katika top ten list ya Television zinazotazamwa zaidi Tanzania ikifuatiwa na ITV na East Africa TV.

Radio zinazosikilizwa zaidi Tanzania


 Television zilizotazamwa zaidi Tanzania


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera zenu Clouds, mnastahili hiyo nafasi kwa kweli, binafsi napenda sana kuwasikiliza sababu ni wabunifu, kila siku, kila kipindi hamkosi jipya lenye mvuto. Kingine Clouds hawana 'sifa-za-kijinga' kama wengine wanavyopenda kujisifia-sifia, pia hawatumii 'nguvu nyingi' kutafuta wasikilizaji, mara kutoa 'fweza' mara kutoa nanihii......vipindi bora na utangazaji mzuri ndio 'mtaji' pekee.....unaweza kutoa fweza au chochote kuvutia wasikilizaji, promo-ikiisha wanabadili channel.....tafadhalini Clouds 'MSIBWETEKE', hebu zidisheni 'manjo-njo' tuzidi kupata 'raahaaa'

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad