Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dr. Hamisi Kigwangalla amesema mkojo waweza kuwa na uhusiano na vitendo vya uchochezi.
Akifafanua suala hilo baada ya mdau kuuliza kwa njia ya mtandao. Je kipimo cha mkojo kinaweza kugundua vimelea vya uchochezi?
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Dr. Kigwangalla alijibu kuwa
"Huwezi kujua, pengine mtu akiwa kwenye 'influence' ya dawa ndiyo anakuwa na propensity ya 'uchochezi' ikigundulika ndivyo anaweza kusaidiwa.
"Ukiwa hujui sayansi unaweza kudhani mkojo hauna uhusiano na vitendo vya uchochezi! Raia mwema huwezi kukataa kipimo chochote, labda mharifu",
Uchochezi waweza kuwa na uhusiano na matumizi ya kemikali zenye kuvuruga akili, hili liko wazi labda uwe mbumbumbu wa sayansi au nyumbu!
aliandika Dr. Kigwangalla.
Hii ni sayansi mpya. Fanya kazi ya udaktari badala ya kuingia kwenye siasa. Acha siasa uwe daktari. Wasomi mbona mnatumika kisiasa namna hii. Wengi tumesoma achani uhuni na uwe daktari. ukitaka uwe mwanasayansi kuproove hili acha ufanyacho fanya uchunguzi ikiwa proven njoo. Wahuni nyinyi wasomi wakununuliwa.ukitaka kufanye research fanya. uwongo mtu unaitwa daktari bila research unachangia uchochezi. Wahutu na watusi waliingia vitani kwa upumbavu kama huu . Watu mnaropoka maneno bila kupima madhara yake katika taifa hasa mkijua wengi hawajasomea sayansi na wengi ni vibendera fuata upepo bila kisomo. Ni wengi Tanzania wapo hivi. Wajinga tu. Ndo maana bado tumelala. Raisi akitaka afanikishe taifa hili inabidi mchakamchaka wa kuamsha akiri nyingi za watanzania mizigo. :owassa alisema vijana wanahitaji mchakamchaka. wamegain kizungu, mavavazi na mila za kuiga utamaduni na fikra zero.Taifa limeponeza mwelelkeo. Kuiga, kukopi, kujidharalisha tu.Mila na desturi zetu zinakufa kabisa. Ndo maana watu wako mitaani kupiga madiri, kuuza mitumba ningekuwa raisi ningekomesha uuzaji wa mitumba na kuwasomesha kazi za kitamaduni. Watu kutwa wanatembeza makopo ya wachina barabarani na Raisi anaunga mkona kuwaruhusu. Ni haya makopo yanaua uchumi wetu. Ni hawa vijana wanahitaji serikali iwape vipau mbele. Mnawapotosha kusudi wawapigie kura mkijua wanayoyafanya hayajengi na kuliinua Taifa hili. Uongozi unahitaji utashi wa kufikiri ni nini Watanzania wanahitaji wafanye ili Taifa liinuke. Sijamsikia Raisi huyu hata siku moja akiongelea kuwasomesha hawa vibaka wa mitaani, wauza mitumba na makopo ya Wachina. Mtakopa Uchina muliinue taifa la kichina na kuua uchumi wa nchi hii. Hamuoni, hamuelewi. Akina Lipumba ndicho inabidi wamsaidie Raisi kama hajui mambo ya uchumi yanakwendaje badala ya CCM kumwezesha lipumba achochee wapinzani. Siasa chafu wakati mwingine zinasababishwa na viongozi kutokujua namna gani wapangilie maendeleo ya nchi zao.Ndo linalotukabiri Tanzania kwa sasa.Miundo mbinu sifuri.
ReplyDeleteWanaofeli shule pia wapimwe mkojo, kwa kua wanaharibu pesa za umma kwa kusomeshwa then wanafeli. Nawaza tu siasa hizi hazina mwisho mwema kwa wakemia....
ReplyDelete