Kwa maoni yangu na kwa kuangalia kwa makini kulingana na mahitaji ya kidunia kwa sasa kuna wanaume watano tu ndio wanaweza kusimama wakaongea na mimi nikaelewa kuwa hawa in maraisi ingawa wote wana mapungufu yanayofanana juu ya Democracy.....
Magufuli :
Rais anayepigania masilahi ya watanzania kwanza na wazungu baadae..
Kafanikiwa kuwabana wazungu walipe Kodi kama alivyofanya kwa acacia.
Kama alivyofanya kwa wafanyabisha wengine kukimbia bandari ya Dar kisa tu sheria ya kodi iliyokuwepo toka enzi za kikwete ilianza kusimamiwa kwa umakini...
Kilichonivutia zaidi ni idadi ya miradi aliyoizindua ndani ya miaka miwili kama fly over DSM, Ujenzi wa Reli ya dar morogoro,miladi ya kiisitoria ya maji tabora, Sengerema ambako watu wako karibu na ziwa kilometer 3 walikuwa hawana maji miaka 55 ya Uhuru?...,na mwisho mradi wa bomba la mafuta kwenda Uganda hili ndio historia bora kabisa likikamilika...
Jambo lililonifuraisha zaidi mwaka huu wa fedha tupo na Ajira 52000 kiukweli kama tutashindwa kumsapoti Rais kwenye mambo muhimu ya kitaifa kama haya basi inabidi tupimwe mkojo.
Rais anayepambana na wahujumu uchumi bila kumungunya maneno,nimependa falsafa yake kiufupi ni Rais ambaye Huwezi kumlingania na Rais yeyote Africa kwa sasa nisijue kama atachoka lakini kazi anayofanya zile muhimu'
Kwana nikiri kuwa mimi ni msomaji mzuri wa magazeti ya ulaya kama Daily mail,The guardian, na the Sun....
BBC, CNN na Majarida pia ya marekani hayawezi kupitisha week bila kumuongelea Rais Magufuli kwenye habari zao..
Magazeti pia ya Kenya ,Nigeria,and south Africa hawa jamaa kila week lazima waandike tukio la rais Magufuli'..
Level za Magufuli kwa sasa ni watu kama
Vladimir Putin
Rais wa urusi ambaye aliikua urusi ikiwa na hali mbaya kiuchumi na kuipaisha na kuwa super power in the world..
Naweza pia kumlinganisha Magufuli na Rais wa Marekani.
Donald Trump
Ambabaye hana mzaha na masilahi ya wananchi marekani ...
Ambaye mwezi July pekee katengeneza ajira 270,000 wakati mwaka wake wa fedha unaanza.
Mwingine ambaye naweza kumlinganisha na Rais magufuli ni Rais wa North Korea bwana
Kim-Jong-Un
Ambaye pia hataki mzaha na masilahi ya watu was north Korea....
Rais wa mwisho duniani ambaye naweza kumkinganisha na Rais magufuli ni Rais Wa Philippines
Rodrigo Duterte
Ambaye naye hataki kabisa wauza madawa ya kulevya kama alivyo rais wetu.
Marais waliobaki wengi ni very weak na hawaendani na wakati wa dunia inataka nini kwa sasa....
Kuna muda uwa namkosoa rais wetu lakini kwenye swala la kusimamia masilahi ya taifa nipo naye bega kwa bega Rais wetu ni Rais bora kabisa duniani kwa sasa narudia tena hakuna Rais wa africa anayeogopwa na kufatiliwa na watu wengi duniani kama alivyo Rais Magufuli'
Tumuunge mkomo Rais tujenge Tanzania vyama vipo vitaendelea kuwepo sioni ubaya wa sisi kuweka itikadi pembeni na kumsaport kwenye mambo muhimu ya kitaifa kama haya anayoyafanya Rais wetu Ccm, Chadema,Cuf vitapita lakini Tanzania itabaki.
Jamii Forums/technically
Mwandishi hata sijui nikwambie nini. Magu ni ZUNGUMZO la Wakati Ughaibuni. Mpaka watu wanauliza Huyu Raisi Huwa Analala?
ReplyDeleteNawambia Ni Binaadamu lazima analala ila muda wa kulala sijui ni muda gani.
Wanaridhika na utendaji na ufatiliaji na sasa Wawekezaji wengi wanataka kuja baada ya kuona Sheria zinaanza kuwekwa za utandawazi (transparent) and once Done! Watakuja na niwalipaji na wanamuogopa Mungu . Magufuli amekuwa ni mfano wa kuigwa na Maraisi wengi duniani na wananchi wa nchi nyingi WANATAMANI kuwa na RAISI kama Wetu. Magu ni habari NYINGINE KWA SASA DUNIANI.
NA TUNASEMA HATUMUACHI MPAKA HUKO Thalathini na KENDA... NGOSHA MLIMPHOLA ....!!!! HAPA KAZI TUUUUUU.
We mwandishi,
ReplyDeleteAcha kupotosha umma, na uandike habari muhimu zinazotukabiri Watanzania. Mnakuwa vibaraka badala ya kuandika ya maana na Maendeleo. Unataka cheo kwa mumsifia ukijua anapenda sifa. Muandike mambo muhimu yanayowakabiri watanzania.Uvibaraka ndo huu.
Nina mashaka sana na uwezo wa mwandishi katika anga za dunia.
ReplyDeleteMwandishi ameandika baada ya kufanya research. Na anayozingumza ndiyo ualiyopo.. Hongera Sana mwandishi.
Delete