GOOD News: Mtanzania, Alphonce Simbu Atutoa Kimasomaso London Katika Mbio za Marathon

Mtanzania Joseph Simbu ashika nafasi ya tatu katika mashindano ya kimataifa ya raidha The International Association of Athletics Federations (IAAF) huko jijini London.

My take:Kwa navyoona huu mchezo wa riadhaa ndio mchezo pekee ambao kama kweli watanzania tukiamua kuwekeza utatutoa sana kama wenzetu Wakenya....Kama mnakumbuka huyu Simbu DSTV walijitokeza na kumdhamini kila anachofanya kuanzia mazoezi na mambo mengine na matunda ndio haya tunayaona.......
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad