HABARI za Hivi Punde...Wanachama wa CUF Wapigana Mahakamani


Moja ya habari iliyonifikia wakati huu ni kuhusu Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba wamepigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahah! Vita vya panzi........................!!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad