HALIMA Mdee Kweli Kichwa Ngumu Ashukia Tena Serikali....Tazama Video Hapa Alichoongea

Siku chache baada ya Serikali kupitia msemaji wake mkuu (Idara ya habari Maelezo) kujibu hoja zilizotolewa na CHADEMA kuhusu hali ya kiuchumi kwasasa kwa kile walichodai ni mbaya, Basi leo August 04, 2017 Waziri kivuli wa fedha na uchumi wa kambi rasmi ya Upinzani bungeni Halima Mdee ameijibu Serikali kwa kusma maibu waliyotoa kuhusu hali ya uchumi kwasasa hayana ukweli. VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad