Hawa Hapa Viongozi Wa Serikalini Walioguswa na Nyimbo ya Seduce Me ya Ali Kiba


Hawa Hapa Viongozi Wa Serikalini Walioguswa na Nyimbo ya Seduce Me ya Ali Kiba
Kiongozi Mwingine ambaye aliwahi kuwa waziri wa Nishati na Madini Willium Ngereja naye ameonekana kuguswa na wimbo huo na kuamua kumpongeza Kiba n kuandika Hivi kweenye Ukueasa wake wa Instagram

"King @OfficialAlikiba : Nyimbo ya Seduce me umeitendea haki tasnia ya muziki nchini pia utaitambulisha nchi yetu kimataifa. Hongera"

Mwingine ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi ameweka hisia zake hadharani kwa kumsifia Alikiba kwa uzuri wa wimbo wake  mpya wa ,Seduce me’ huku  akiahidi kumpatia zawadi yoyote aipendayo

Mhe. Hapi ameshindwa kuzuia hisia zake juu ya wimbo huo mpya wa Alikiba ikiwa ni siku chache zimepita tangu msanii huyo aachie ngoma hiyo  baada ya kukaa mwaka 1 na miezi kadhaa tangu alipotoa wimbo wake wa Aje .

“Nimekuelewa sanaa wajina @officialalikiba. Kazi imeenda shule.Nidai zawadi kwa muziki huu wa ukweli.Keep the fire burning!”,ameandika Mhe Ally Hapi.

Wimbo huo ambao tayari umeshavunja rekodi ya kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa Youtube nchini Tanzania unaonekana kuwazutia mastaa kibao hapa nchini akiwemo Wema Sepetu.


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapa wimbo hakuna sema promo mnazoweka ninyi sana kupaisha wimbo wenyewe ule sio wimbo kabisa nashangaa ,hadi wasanii ili kumpa moyo kiba nadhani bado kaka wewe nilevel za harmonize kaza buti

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad