Haya Sasa Hamisa Mobetto Amechafua Hali ya Hewa Ndani ya Maternity Photoshoot Kali.....

Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot :

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna swali ambalo mara nyingi huwa najiuliza, hivi ma-binti kama hawa wana-wazazi? Wanafamilia yaani ndugu kwa jumla, ba'mdogo, ba'mkubwa, mjomba, kaka, shangazi nk.nk., kama wapo hawayaoni haya?? Kama wanayaona, wanaridhika?? mmh najaribu kuvaa viatu vyake, sijaona pakutokea wala pakuweka sura yangu......au wenzetu wazazi wao wadhungu! Pole yao

    ReplyDelete
  2. Hiyo ndiyo facebook generation wao wanageza tu vitu au matendo wanayoyaona kwenye mitandao inayofanyika ughaibuni bila ya kufikiria athari zake katika siku za usoni itakuwaje na kusahau kuwa wao wamelelewa au nchi wanazoishi zina maadili gani ya kimila au utamaduni halafu utawasikia eti wanataka kuolewa balaa duniani

    ReplyDelete
  3. Hivyo hawa mabinti huwa hawajielewi kuwa ni kituko! kisha maisha yakimpiga kidogo utasikia wakisema karogwa kumbe wanajiroga wenyewe na vituko vya makusudi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad