Idris Sultan Atua ‘Heaven Sent Premiere’ na Wema akiwa na ‘Love Bites’ (Video)

Msanii wa filamu na mchekeshaji, Idris Sultan ametua katika uzinduzi wa filamu ‘Heaven Sent’ ya aliyekuwa mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu akiwa na love bites shingoni. Idris amefunguka vitu mbalimbali kuhusu filamu hiyo pamoja na ‘love bites’ ambazo zinaonekana shingoni kwake.

TAZAMA VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad