Imefichuka..Mange Kimambi Amlipua Diamond Vibaya...Adai Diamond Karanga si zake na Amezulumu Mwanamke Mjane Gari

Imefichuka..Mange Kimambi Amlipua Diamond Vibaya...Adai Diamond Karanga si zake na Amezulumu Mwanamke Mjane Gari
Malkia wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania mange kimambi amemjia juu diamond platnumz juu ya kumdhulumu mjane malipo ya gari alonunua
Kumbe diamond karanga sio za dai wala perfume sio zake heheee yeye kapiga tangazo tu
Amshutumu pia kwa kukataa watoto
Alichokiandika mange hiki hapa;

"Huyo mkataaa watoto hizo karanga hazimuhusuuuuu kabisaaaaaaa!!!! Yani ni Sawa na anavyofanyaga matangazo ya Vodacom alafu mmeseme vodacom ya kwake.... Hizo karanga za long time kishenziii tena zilikuwa zinauzwa tshs 200, kapewa matangazo basi... Hata perfume pia haimuhusuuuuu, keshapewa chake ila perfume ni ya Kusaga ndo anaepiga hela.....Nawashangaaga sana mnavyomuharakisha Kiba atoe bidhaa zake, ni bora atulie atoe kitu ambacho ni chake sio kunufaisha watu wengine abaki anajigamba kwa bidhaa ambazo hana hata shea kidunchu..

Sio kama namchukia ila ukweli ndo huo.....

Na nimetafutwa na ndugu zake mjane wa Seki yule alikuwa bwanake Lulu akafariki ghafla baada ya kuuwawa na majini ya Lulu, Jamani nataniaaaaaa , wanadai kwamba mkataa watoto kamdhulumu mke wa Seck hiyo X6. Marehemu Seck alimuuzia mkataa watoto hiyo x6 kwenye birthday yake ya 2014 akawa kalipa pesa kidogo mnoooo sasa bahati mbaya Seki akafa ndo mkataa watoto nae kajikausha na deni la marehemu na X6 anaitimba tu, mke wa Seki kamdai hadi kachoka kabaki analia. Embu mwambieni amuoneee huruma mjane wa watu jamani, ajifikirie yeye afe leo alafu Zari na Hamisa wadhulumiwe huku wana watoto wadogo angejisikiaje huko kaburini??? Kweli angeresti in pisi?? "

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama hayo ulio nena ni ukweli basi diamond si mtuya kudhulumu mjane is very bad ukweli unauma sana na kawaida msema kweli hapendwi kuna msemo unaosema lisemwalo liko na kama haliko basi liko njiani linakuja Mange wewe kiboko

    ReplyDelete
  2. diamond anawapoteza sana rai vijiweni na habari zake za uongo,kutwa nzima rai kubishana kumbe mali zenyewe sio zake!!!!

    ReplyDelete
  3. Kwa hizo karanga hata mimi nazijua long time kabla hajazitangaza mshkaji, sema hazikuwa zikipendwa sana na soko lake lilififia mno so jamaa kazichangamsha tena. Na zilikuwa zikiitwa hivyohivyo

    ReplyDelete
  4. Mange kimambi Onyesha nawewe product zako maana kazi yako nikuchambua juhudi zawengine ACHA MANENO WEKA MZIKI.

    Diamond ni level nyingine achana naye humuwezi ,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad