Jacob Zuma Avuka Tena Kikwazo Cha Wapinzani...Wabunge wa Upinzani Washindwa Kumuondoa Kwa Kura

Hatimaye siku imewadia na Mzee mzima Jacob Zuma the Man himself kwa mara nyingine ameweza kuruka kiunzi cha wapinzani cha kuondoka madarakani kwenye Kura za Siri zilizopigwa leo na Wabunge wa Bunge la Afrika kusini.

Wabunge wa chama chake ANC waliweza kumuhakikishia Zuma kwa Kura 198 huku upinzani Ukipata kura 177 ambazo hazikutosha kumng'oa Zuma madarakani.
Zuma raisi wa Afrika Kusini alikua akikabiriwa na kashfa za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad