kazidi nini ni mwanamke kama wanawake labda kwa upeo wako ndio unamuona hivo lakini hajazidi chochote huo weupe haku zaliwa nao hizo nyewele ni mawigi hata ukivisha jogo wigi anapendeza so mind your language
wacha ufala wewe aonewe wivu kwa ajili ya nini mwanamke mtu mzima huyu hebu cheki mikono yake utajua tu kazeeka ni hizo hela za ivan zina mzuzua kutumia cream za gali aonekane bado botox pia anachoma aonekane kijana hamna mwenye wivu
wadada wengi wanamtaka diamond ila yeye kajichukulia south Africa ZALI.mabinti wangapi wanamsumbua Dimaond ? kweli nakubariana wivu umewazidi,dada zetu
wapumbavu kama yeye ndio wanaomtaka lakini mwenye adabu na heshima yake afuate nini kwa diamond tabia kike alizonazo anacho kifanya tangazo isitoshe wanawake wamchkie zari kama nani bibi kizee huyu mkokoteni unaedandiwa na kila mtu tupisheni huko
MAWIVU YAMEWAZIDI MABINTI WA KITANZANIA. SIONI SABABU YA KUCHUMA DHAMBI KWA KUMCHUKIA MTU PASIPO SABABU. KIPENDACHO ROHO KULA NYAMA MBICHI. ZARI WAACHA ASEMEEEEEE WEEE WEWE ENDELEA NA MAISHA YAKO.
kazidi nini ni mwanamke kama wanawake labda kwa upeo wako ndio unamuona hivo lakini hajazidi chochote huo weupe haku zaliwa nao hizo nyewele ni mawigi hata ukivisha jogo wigi anapendeza so mind your language
ReplyDeletewacha ufala wewe aonewe wivu kwa ajili ya nini mwanamke mtu mzima huyu hebu cheki mikono yake utajua tu kazeeka ni hizo hela za ivan zina mzuzua kutumia cream za gali aonekane bado botox pia anachoma aonekane kijana hamna mwenye wivu
ReplyDeletewadada wengi wanamtaka diamond ila yeye kajichukulia south Africa ZALI.mabinti wangapi wanamsumbua Dimaond ?
ReplyDeletekweli nakubariana wivu umewazidi,dada zetu
wapumbavu kama yeye ndio wanaomtaka lakini mwenye adabu na heshima yake afuate nini kwa diamond tabia kike alizonazo anacho kifanya tangazo isitoshe wanawake wamchkie zari kama nani bibi kizee huyu mkokoteni unaedandiwa na kila mtu tupisheni huko
ReplyDeleteMAWIVU YAMEWAZIDI MABINTI WA KITANZANIA. SIONI SABABU YA KUCHUMA DHAMBI KWA KUMCHUKIA MTU PASIPO SABABU. KIPENDACHO ROHO KULA NYAMA MBICHI. ZARI WAACHA ASEMEEEEEE WEEE WEWE ENDELEA NA MAISHA YAKO.
ReplyDelete