Jenerali wa Jeshi Ateuliwa na Rais Magufuli Kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

Raisi John Magufuli leo August 21, 2017 amemteua Brigedia Jenerali John Julius Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

Uteuzi wa Brigedia Jenerali John Julius Mbungo unaanza leo August 21, 2017.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera Baba. Uteuzi huu unaashuria kwamba hutaki mchezo na Generali ulielewe Hilo jukumu katuteua baada ya kukuchambua na kukuona unafaa vilivyo katika hii nafasi na sofa zinawndana na matakwa na kiwangi cha kazi hii. Tunakuomba usitwaangushe na tunakuombea mungu akuwezeshe kiutwndaji ili tuilete na kuifukia Tanzania yetu mpya. Tulichezewa Sana huko nyuma. Kazi kwa pamoja HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad