Kama Upo Kwenye Mahusiano Miaka 2 na Msichana na Hujaona Chozi lake, Huyo Hana Mapenzi ya Kweli

Leo nimeona nilete hili jambo, katika ujana wangu nimebahatika na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya msichana mmoja ila kitu nilicho gundua hata wewe jalibu kufanya utafiti

kama upo kwenye mapenzi na mwanamke zaidi ya miaka miwili na hujabahatika walau siku moja
kuona machozi yake basi tambua huyo mwanamke hana mapenzi ya dhati kwako chamsingi
nikuchukua tahadhari mapema OVA.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad