Kichanga cha Faiza Ally Cha Anza Kutembezwa Kwenye Mitaa Wakati Hata Wiki Hakijafikisha

Naona sasa hivi utandawazi umekuwa kwa kasi sana kichanga hakija fikisha hata siku 7(wiki moja) kinaanza kutembezwa kwenye mitaa,hili nimeliona kwa mrembo Faiza Ally.



Nb:Wabobezi wa mambo ya Afya na dini hii imekaaje? Piteni mtutoe tongo tongo kwenye hili.

By Ndumilakuwili

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani mimi roho inaniuma sana, yaani wanawake wa sasa hivi wanabeba watoto kama mboga kwenye maribolo/ mfuko.kwa nini kama unampenda mwanao usimbebe mikononi??yaani angalia alivyomninginiza utadhani sukuma wiki.hata kuku siku hizi hawabebwi hivyo. jamani umepewa mikono ya nini?huyo mtoto ni mdogo hatakilo hana.

    ReplyDelete
  2. Hicho ndiyo kizazi cha facebook wanakuambia wanaenda na wakati mambo ya kumbeba mtoto kwa mbeleko ni ya kizamani wafanyavyo ya kubeba watoto zao katika vitenga ndiyo mpango mzima balaa duniani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad