Kijana Epuka Ndoa na Wanawake Wenye Kazi Hizi........

Mwalimu :
Wengi wenu mna dhana potofu kwamba ukioa mwalimu mpo in safe side. Hawa watu akili zao zimelala fofofo. Mtu anayeridhirika na ujira wa laki 3 kwa mwezi kwa kutoa sadaka siku zake 30 kwa mwezi ni wa kumuepuka. Hana changamoto mpya katika maisha. Akirudi kazini yuko exhausted kabisa, atapata wapi muda wa kuwaza vitu vipya huku bado hajasahihisha?? Unless atakua ni mtu unayemtumia kwa sex tu, ana madhara hata kwa akili ya watoto atakaowazaa yawezekana wakawa na akili mgando pia.

Askari :
Hawa watu siitaji kuwaelezea sana. Acha wachukuane wao kwa wao. Kama wewe ni raia wa kawaida ukitaka kuumia moyo kwa kupigiwa oa hawa watu. Mafunzo ya kijeshi kawaida yanaharibu saikolojia yao. Kauli mbiu ya huko mafunzoni kwao ni kwamba wanawake wapo jeshini kwa ajili ya kuburudisha mjeshi wa kiume na kumpa morali. Ko kiungo chake si mali yake. Achilia mbali kukuendesha.

Nurse / Wauguzi :
Kama una mpango wa familia yako kustawi kiuchumi, epuka hawa watu. Kazi zao zinawa train kutoa msaada ( kazi za kujitolea ). Mioyo na akili zao hubadilika kabisa na kuwa kimsaada na kuhurumia zaidi. Hii ni mbaya sana kwa maisha ya kibiashara/kiuchumi. Ingawa the first law of being rich is giving out but kwa hawa huwa ni too much. Wema usizidi uwezo.

Madactari :
Kutokana na nature ya kazi zao ni vigumu mno kwa ustawi wa familia. Kama una ndoto ya kuipeleka mbali kiuchumi familia yako waepuke. Muda wao mwingi hutumika kuwaza kazi zao na kutoa huduma. Ni rare sana kumkuta dactari yuko shap nje box. Unless umuweke kwa kukuzalia na huduma za kimwili, hata hivyo unahitaji uwe mvumilivu kwelikweli muda wowote anakurupushwa kazini.

Waajiriwa wa mabenki. ( Tellers & Accountants).
Kuishi mtoni haimaanishi wewe ni msafi. Kuna watoto mnajidanganya hawa watu wana pesa kutokana na kazi zao. Hawa hawana tofauti na kundi la kwanza hapo juu. Moja ya wanyonywaji wanaoongoza nchini ni hawa. Mikopo ya nyumba na vigari huwasahaulisha kabisa kama wananyonywa. Ma teller wanalipwa hadi laki 4, accountants wanapewa >1m for 12 hrs a day for 30 days. Ukiamua kuoa hawa hakikisha ana kubali kuacha kibarua chake, wanakuwaga wachakarikaji at least but wakiacha.

Wasaidizi maalumu wa watu binafsi :
Wasemaji wa mabosi fulani, makarani wa mabosi, na wengineo. Mara nyingi huwa ni nyama za hao mabosi, Lkn unaweza kuoa kama huna wivu wa mapenzi. Mara mia ukaoa muhudumu wa hoteli.

Msomi asiye na kazi :
Mara mia tatu kuoa mjinga asiye na kazi kuliko hawa nyumbu wamekula pesa ya serikali alafu wanapanga foleni kusubiri kuwa watumwa wa watu. Akili yao 80% wanawaza ngono vichwani. Mjinga asiye kazi unaweza bahatika kupata mwenye mwamko akawa wa faida kwako ila kwa sababu tu hakupata mwanga akaishia kubaki iddle.


USHAURI WA BURE ( option kuchukua):
Kuna kazi watu wake mnawadharau mno lakini kwa kutokana na uzoefu wangu maishani it's 100 better kuwachangamkia.

Wafanya biashara wadogo( haijalishi udogo wa level gani).
Akili za hawa wanawake zimechamka mno. Akili iliyochamka ina faida lukuki kwa mtumiaji. Ashajua ujanja wa kuingiza mkwanja, kuoa hawa ni kuwa na advantage ya goli la ugenini.

Waajiriwa wa secta binafsi department za accounts, Sells & Marketing & Project planning & Development.
Akili za hawa watu huwa ziko active muda wote kutokana na nature za kazi zao. Ni faida kwako uliye na ndoto za kufika mbali kiuchumi. Ukikosa wa secta binafsi oa hata wa serikalini. Mkishawaoa baada ya muda ni vizuri watoeni huko, wafanye mambo yanayohusu familia( kiuchumi).

Mnaweza kuongeza na wengineo...............................................!!

Samahanini sana kwa niliowagusa.....

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole sana kijana. Hapo unaoa kazi au unaoa mtu. Rudi kajitathmini upya, kenge mweusi wewe!!!

    ReplyDelete
  2. Unaonaje kama ukioa mwanamke JAMBAZI...........

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad