Muendelezo wa wabunge wa upinzani kutiwa nguvuni kwa tuhuma mbalimbali umezidi kushika kasi baada ya leo Mbunge wa Jimbo la Mbozi Mkoani Songwe, Pascal Haonga, kukamatwa na Polisi leo mchana akiwa katika mji mdogo wa Mlowo-Mbozi.
Mbunge huyo kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kufanya mkusanyiko usio halali.
Licha ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Mathias Nyange, kuthibitisha kumshikilia Haonga lakini hakutaka kueleza suala hilo kwa kina kwa madai kuwa hayupo ofisini.
Meshack Mgaya ambaye ni Katibu wa Chadema Mkoa wa Songwe amesema kuwa chama kinaendelea kufuatilia kwa karibu kukamatwa kwa kada huyo na kwamba baada ya kujiridhisha watato tamko.
Hata kama raisi Magufuli akionyedha ni burdoza , lskini kwa kukaa kimya na kuunga mkono viongozi wa chadema wskamatwe, wadharslisher smbspo pia wsmechaguliwa na wananchi wawasikilize matatizo yso, hii ndiyo itskayoua ccm moja kwa moja.mtu anatumbua makosa, lakini anabariki unyanyasaji wa watanzania kisa chsma na rangi tofauti ya bendra tu. Wananchi nawaombeni tumieni kura zenu kulipinga hili. Rsisi unakubsli tsifa lijigawe ,ili tu wstu eote wsje ccm. Hapa watu wengi wenye skili watsihama ccm kwa hiari. Tsifa linamhitsji kiongozi anapoona watu wananyanyaswa anakemea. Ni tofauti gani kati yako na awamu iliyopita ambayo sheris zilitekwa na siasa za ccm. Majaji wslishindwa kutetea haki na mali zanchi.lskini bado ccm hiyohiyo kupitis fola inaksmata kamata wapinzsni wengi bils hatia huu ni ukiukaji moja wapo wa sheria. Basi, futa chadema ukiweza.ni hili jambo linatushangaza, sheria za nchi hii zipmekamatwa na ccm na ccm ipo huru kufsnya watakavyo kupitia jeshi la polisi ambalo badala ya kamatakamata linabidi liwalinde.tunaingia unatuingiza misri.hivi unafurahishwa uwe jogoo pekee. Mbona majogoo mko wengi.unawaogopa chadema?. Hukubali ushindani? Nchi yetu hsikuwa hivi, haijawahi kuwa hivi.mnavunja usslama na amani nchini.mnawsogopesha watu kisa wote wavae kijani, huu ni ubabe.asiyekubali kushindwa si mshindani. Ni hoja safi za chadema, zenye nguvu, msimamo, zinazotaka kulinda mali, kubadili sheria za madini, mnawaogopa kwa kusema ukweli na kupigania haki za wananchi.Chadema ni chama pekee chenye msimamo kupigania sheria haki za madini badala ya makinikia ambayo ni aslilia kifogo tu ya madini.chadema inataka madini ambayo ni mali ya watanzania iwanufaishe watanzania zaidi.acacia imefika kutaka dili ikijua vhadema ikiingia madarakani itakosa haya mslupulupu ccm inayaachia. inajua ccm haiwezimjadala. Na acacia bado itatoka mshindi. Ccm ni dhaifu kwenye haya mambo ya vitega uchumi wakijua ndo wao wsmeharibu.ebu acheni kulipasua taifa kupitia siasa chafu.wananchi jiungeni na upinzani mpate haki zenu, muwe huru kutetea mali zenu na kujitetea wenyewe mnspoonewa badala ya kulazimidhwa.ni nyinyi wenyewe mkiamua kujielimisha, kujitawala, kuwa huru ns kuchagua wrnyewe ni nini mnataka .ni hspo tu nchi itskwenda vizuri. Inatisha kwa sasa.
ReplyDelete