“Nataka mambo yenyu ninyi wawili yaishe, nataka mfanye kazi kwa ajili ya Tanzania. Nampongeza Ruge kwa nyimbo nzuri na Mungu awabariki sana” Rais Magufuli.
Je, unadhani hii mbinu aliyotumia Rais Magufuli itafanikiwa kuwapatanisha hawa vijana?
Je, ndo mwisho wa vyombo vya habari kususia habari za Makonda?
#BossHanuniwi
Nijuavyo mimi wanaume 'hawanaga-nongwa' kama wanawake....anyway tusubiri tuone, labda Ruge kama alitaka aombwe radhi na Makonda kwa mdomo wake mwenyewe.....lakini ni-vizuri yakiisha, na hivyo vyombo vya habari vingine nadhani vipambane-na-hali-zao, haya yamekwisha, walimissiana bana.........
ReplyDeleteHii si nongwa. Huu ni uongozi kutoka juu unaotengeneza hsli za upendeleo hadharani na kulipadua taifs. Na hawa wasanii waacheni tu wstumike kisiasa. Ipo siku wstaamka na kulielewa hili.
ReplyDeleteMaghuful is smart kiuchumi, kisiasa na kwa hawa wapinzani wetu makelele akina Chadema watateseka sana kwa Maghuful mpaka pale wapinzani watakapobadilika kiakili kwa sababu hivi sasa ni vichaa. Kwa sababu in vain talking will never win against actions cause Maghuful knows how to fix things in amazing way that is Maghufuli. Kumpatanisha Makonda na Ruge ni moja kati ya busara ya hali ya juu ya kiuongozi aliyoienesha Muheshimiwa raisi, hongera sana Maghufuli.
ReplyDelete