Makonda 'Kuna Askari Waliolazimisha Watu Wavue Nguo Wakawapiga Picha Uchi na Kuwaomba Rushwa ya Milioni 5

 Paul Makonda Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amewalaumu Jeshi la Polisi kwa kitendo cha baadhi ya askari wake kuwakamata na kuwalazimisha watu kuvua nguo na kuwapiga picha na kuwaomba rushwa ya milion 5 la sivyo watavujisha Picha, Pili amesema anataarifa ya Askari Walikamata mtuhumiwa madawa ya kulevya na kumuachia baada ya kupewa Rushwa, Vile vile ameongelea matukio ya askari kukamata watu wenye magari wanaoenda Kumpumzika Coco Beach na Kuwasingizia walikuwa wanafanya mapenzi kwenye gari

TAZAMA VIDEO:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad