Wakiongea kwenye na Soudy Brown kwenye U HEARD ya XXXL ya Clouds FM baada ya kuendelea kusambaa kwa taarifa hizo nao walifunguka.
”Hamisa rafiki yangu siyo wifi yangu lazima niwe na furaha kwa sababu kajifungua salama. Wewe ulikuwa unataka nifanyeje? Hizo habari za Diamond mimi sizijui. Niulize mambo yangu. – Esma.
“Wewe unanitafuta nini Soudy? Naumwa kifua. Watoto wote ni wajukuu zangu hata wewe mtoto wako ukizaa mjukuu wangu. Wewe mwenyewe mwanangu, mtoto ukizaa mjukuu wangu. Wewe ni shushushu mbona hujafika Hospitali kumuona? Walioniona nimeenda Hospital waambie wakuhadithie vizuri. Mimi namuombea maisha mema alee mtoto wake vizuri kwa amani na furaha.” – Mama Diamond
mwenye macho haambiwi tazama. bado mnabisha tuu.
ReplyDeleteahhhh...hapo hata jali haingii ndani.. kwa ulembo huu mobeto..umefunga kazi..dai lazima achague kunzisha nyumba ya kaskaxi na kusi..wewe wa kuwekwa ndani
ReplyDeleteumeona Kidomo na langi yaMdomo vimependeza kama mama dubai..
Deletealafu Dai anavyomjua kizee chake akiona mambo yashaharibika anajifanya kumsifia na kumpeleka kuogelea kumbe anangonga kisogo
ReplyDeleteHongera Sana Mobeto. Bibi Matende limemshuka
ReplyDeleteMobeto oyee bi kizeee maskini kijasho chembamba kinatoka eti anajibabaisha kupiga vipicha aambiwe hajali uwii TZ huu Tunajua roho inapwita
ReplyDelete