Mama Diamond Afunguka Makubwa "Mtoto wa Hamisa Mobetto ni Mjukuu Wangu"

Mama Diamond Afunguka Makubwa "Mtoto wa Hamisa Mobetto ni Mjukuu Wangu"
Baada ya Mwanamitindo Hamisa Mobeto kujifungua mtoto wa kiume na story zikisambaa kuwa mtoto huyo ni mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ingawa wenyewe wanazikanusha, sasa leo mama mzazi na dada wa Diamond wamefunguka.

Wakiongea kwenye na Soudy Brown kwenye U HEARD ya XXXL ya Clouds FM baada ya kuendelea kusambaa kwa taarifa hizo nao walifunguka.

Hamisa rafiki yangu siyo wifi yangu lazima niwe na furaha kwa sababu kajifungua salama. Wewe ulikuwa unataka nifanyeje? Hizo habari za Diamond mimi sizijui. Niulize mambo yangu. –  Esma.

“Wewe unanitafuta nini Soudy? Naumwa kifua. Watoto wote ni wajukuu zangu hata wewe mtoto wako ukizaa mjukuu wangu. Wewe mwenyewe mwanangu, mtoto ukizaa mjukuu wangu. Wewe ni shushushu mbona hujafika Hospitali kumuona? Walioniona nimeenda Hospital waambie wakuhadithie vizuri. Mimi namuombea maisha mema alee mtoto wake vizuri kwa amani na furaha.” – Mama Diamond

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwenye macho haambiwi tazama. bado mnabisha tuu.

    ReplyDelete
  2. ahhhh...hapo hata jali haingii ndani.. kwa ulembo huu mobeto..umefunga kazi..dai lazima achague kunzisha nyumba ya kaskaxi na kusi..wewe wa kuwekwa ndani

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona Kidomo na langi yaMdomo vimependeza kama mama dubai..

      Delete
  3. alafu Dai anavyomjua kizee chake akiona mambo yashaharibika anajifanya kumsifia na kumpeleka kuogelea kumbe anangonga kisogo

    ReplyDelete
  4. Hongera Sana Mobeto. Bibi Matende limemshuka

    ReplyDelete
  5. Mobeto oyee bi kizeee maskini kijasho chembamba kinatoka eti anajibabaisha kupiga vipicha aambiwe hajali uwii TZ huu Tunajua roho inapwita

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad