MANGE "Mwisho wa Ubaya Aibu...Diamond Alitaka Kumwaribia Ali Kiba Lakini........"
9
August 29, 2017
Mrembo Mange Kimambi Amefunguka Makubwa Baada ya Kumaliza Zoezi alilolianzisha Instagram la kupokea Video za watu mbali mbali na kuzipost huku wakicheza wimbo mpya wa Ali Kiba.....Amefunguka Haya Hapa Chini:
Mangekimambi_ - Hey guys, tumefikia mwisho wa #SeduceMeChallenge
.Hongera kwetu sisi wooooote. Credit should go to you Ali Kiba's fans kwa kukinukisha. Bila nyinyi kunitumia videos nisingekuwa na material za kuposti...... Kazi yangu ilikuwa ndogo, kazi kubwa ilikuwa kujirekodi those amazing creative videos....
I'm bummed kuwa nimebaki na maelfu ya video ambazo sikuweza kuposti! Haki siku nyingine itabidi nininue iphone 7 plus kabla ya issue Kama hiii, maana nimepata shida ya storage Jamani. Mpaka nilikiwa nadata .... .
Nawaomba msahama wooote ambao sikuposti video zenu na sikujibu malalamiko yenu whatsapp, sikuweza kuwajibu woote mmoja mmoja . Naomba mjue kuwa wooote mlituma video nzuri Ila sikuweza kuposti zoooote!!!
Lastly niseme kuwa kilichotokea the last few days kiwe Funzo kwa wanamuziki wetu, mashabiki wanataka mziki tu sio maskendo na makiki yasio na mpango. Kiba kawaonyesha kuwa kufanikiwa sio lazma uwe na wanawake 20 au uwe una tukana wanawake zako mitandaoni, au uwe unatukana mashabiki wasiokukubali au uwe Namameneja wapenda drama. Hatujawahi kumsikia @sevenmosha anachamba watu. .
Pia tumejifunza kuwa roho Mbaya hailipiiiiiii, mwisho wa ubaya huwa ni aibu.... Haikuwa na haja ya wao kutaka kumwaribia mwenzao. That's was so unfair Jamani! Mimi sikuwa na mpango wa kufanya promo kwa Kiba ila roho iliniuma sana ðŸ˜Haki nilipata shock, sikuamini vijana wadogo vile wanaweza kuwa wanyama kiasi kile, sikujua wanamchukia Kiba kiasi kile. Nilikuwaga nachukulia beef lao kama utani flani hivi, I never took their beef seriously ila juzi ndo nikajua those boys are cruel.Nilipoona Kiba anachezewa rafu bila sababu nikasema I have to do something,?fortunately na nyinyi pia mlikuwa tayari kuchukua hatua. Kwa kweli tumewanyoooooosha yani naamini kabisa wamejifunza na hawatorudia tena..... Tuwasamehe bure hawajui walitendalo!! .
Congrats Kiba, Sasa watanzania tunasubiria kuvote kwenye Awards... Yaaaaaas!
Tags
Alitaka kumuharibia kitu gani na hii ni competitive industry au mnataka msanii awe kipusa peke yake?So far nini kiba amegain mpaka hapa.......hao crafted viewers ama kitu gani??Nendeni mkapuzke sasa si mmemaliza kazi@ZILIPENDWA ndo iko kwenye plan kupewa airtime sasa.
ReplyDeleteMsisahau na ile agenda yenu ya kumuharibia kwa kutaka kulazimisha kubambikiwa mtoto sawa eee.....shenzi kabisa. Ukiona mwanaume rijali anakataa mtoto kaa pembeni umiza kichwa pambafu kabisa.
I wish I could like your comment a million times ��������
DeleteWw mange ulimchokonoa makonda yamekushinda unaingia kwenye bongo fleva yatakushinda na hayo kama mwanamke kweli mbona huji Tanzania tunakusubiri
ReplyDeleteHuyu dada hajielew unampangia mtu muda wa kutoa truck yake are you his manager?, ukatoe hiyo promo na pale inapokua against Rd pia sio wenyewe kwa wenyewe shenziii....hii game sio football that a winner must be seen but we can have hundred of Simba at once stupid gal
ReplyDeletenyinyi ndo hamumuelewi Mange, bora kaeni kimya. Mange anapigania kila cku maisha ya watanzania na kaamua kuweka roho yake mashakani yoote hamuyaoni. sasa alofanya Dai mnaona ni sifa au. mnadhania atakuwa juu kwa kudhalilisha wanawake na kukataa watoto wake! Mmevurugwa.
ReplyDeletewewe na huyo kinyago mwenziyo mange ni washenzi mnatafuta kiki ambazo hazina maana, huyo mange kwanza ni nani mpaka ashobokewe, wajinga sana nyinyi alitaka kumharibia nini kama si upumbavu mnaouandika? pambaneni na hali zenu waache wenzenu wapige kazi na mtasubili sana
Deleteutawapata wajinga wenzio na pambana na hali yako we chizi
ReplyDeletewatoto zao nepi
ReplyDeletewajinga na mataahira ni nyie mnaomchukia Mange. wakati mnamsoma kila cku na mnafunguliwa macho na akili zenu za kufuata mkumbo. kajembeniii hukoooo.
ReplyDelete