Mayweather Sio Mtu Mzuri Amchakaza Chakaza McGregor Kwa Knock Out.....

Bondia Mmarekani Mweusi Mwenye Asili ya Africa Floyd Mayweather Kwa Mara nyingine tena Amedhihirisha kwamba yeye ndio bondia bora Duniani baada ya kumtwanga McGregor Katika pambano lililopigwa round kumi tu ambapo Refa ilibidi akatishe pambano baada ya kipigo kikali alichokuwa anapata McGregor na hivyo Mayweather kushinda kwa Knock Out.....


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad